KUMPENDA JIRANI

Kumpenda jirani, hii ni tabia ambayo Muislamu anatakiwa aijenge, aizoee na kujipamba nayo. Muislamu anapaswa kujua kuwa kumpenda jirani yake ni sehemu ya mafundisho ya dini yake ambayo Uislamu wake…