KITAKO BAINA YA SIJIDA MBILI

Kitako hiki baina ya sijida mbili ni wajibu kiwepo katika kila rakaa. Dalili ya kitako hiki:  Kitako hiki kilicho baina ya sijida mbili; ile ya kwanza na ya pili, kimetajwa…