KIKAO CHA MWISHO

Hapa kinachokusudiiwa ni kile kitako kinachokuwa katika rakaa ya   mwisho ya  swala, kinachofandamiwa na salamu. Ni suna iliyothibiti  kukaa mkao wa “ Tawarruki”  katika kikao hiki cha  mwisho . Huu…