KERO ZA MAKURAISHI DHIDI YA MTUME

Makurayshi walipoona juhudi zao za kumuendea kiongozi wao Mzee Abu Twalib ili amzuie mwana wa nduguye kuwatukania miungu wao zimegonga mwamba, hazikuzaa matunda yeyote. Na moto wa Daawah ya dini…