KERO ZA MAKURAISHI DHIDI YA MASWAHABA WA MTUME

Kero na maudhi ya Makurayshi hayakuishia kwa Bwana Mtume bali yaliwagusa na kuwakumba pia na maswahaba wake. Makurayshi walipoona kwamba Nabii Muhammad, sasa amezungukwa na kundi kubwa la watu, amepata…