JANABA

Maana ya asili ya neno janaba ni umbali. Hivi ndivyo ilivyotumika ndani ya Qur-ani : “….BASI YEYE AKAMUANGALIA KWA MBALI BILA WAO KUJUA” [28:11].  Kadhalika neno janaba linachukua maana ya…