IQMA

Iqaamah kama ilivyo adhana ni suna muakadah (kokotezwa) katika swala za fardhi zinazoswaliwa ndani ya wakati wake (Adaa) au zinazoswaliwa nje ya wakati wake (Qadhwaa). Iqaamah ni suna kwa jamaa…