HUKUMU NA DALILI YA KUTAYAMAMU

Kutayamamu ni WAJIBU/FARDHI kwa mtu katika hali mbili: 1: Wakati atakapoyakosa maji ya kutawadhia. 2: Wakati atakaposhindwa kuyatumia maji kwa sababu zilizobainishwa na sheria.   Kutayamamu kumethibiti katika Qur-ani Tukufu,…