HISTORIA YA DINI

Baada ya kuiangalia kwa mukhtasari dhana na maana ya dini, hebu sasa tujiulize dini imeanzia wapi? Tukiichukulia dini kwa maana ya aina Fulani ya mfumo wa maisha uliochaguliwa na kufuatawa…