HIMA YA MAKURAYSHI KATIKA VITA HIVI ILIKUWA NI KUMUUA MTUME

Makurayshi wanne walifunga ahadi ya kumuua Mtume wa Allah katika vita hivi na mushrikina wenzao walilitambua hilo. Hawa walikuwa ni Abdullah Ibn Shihaab, Utbah Ibn Abuu Waqaasw, Amrou Ibn Qamiah…