HIJRA YA PILI YA UHABESHI

Baada ya Mtume – Rehema na Amani zimshukie – kuingia kambini katika boma la Mzee Abu Twaalib, yeye na jamaa zake kufuatia vikwazo vya Makurayshi dhidi yao, Bwana Mtume aliwaamrisha…