HIJRA YA KWANZA YA UHABESHI (ERITREA)

Bwana Mtume – Rehema na Amani zimshukie – alipoona kwamba Makurayshi wanazidi kuendeleza sera yao ya mateso na ukatili dhidi ya maswahaba kwa ajili tu ya kulinda hadhi na heshima…