HAKI ZA VIONGOZI NA HAKI ZA RAIA

Ni maumbile ya wanadamu kukhitilafiana kifikra, kimawazo, kiufahamu na kiakili. Na mara nyingi watu huongozwa na matamanio na matashi ya nafsi zao bila ya kujali sheria au haki za wenzao.…