SURA YA PILI-SOMO LA KWANZA-SWALA

i) FAIDA/AINISHO/MAANA NA SWALA Kabla hatujaingia moja kwa moja kuielezea swala na uchambuzi, ni vema kwanza tukajiuliza swala ni nini, ili tutakapokuwa tunalitaja neno swala, tujue na kuelewa tunazungumzia kitu/jambo…

KUPAKAZA MAJI JUU YA VICHACHA (P.O.Ps) NA UTEPE (BANDAGE)

Ni vema kabla hatujaanza kuelezea hukumu na namna ya upakazaji juu ya vichacha na utepe, tukabainisha kichacha na utepe ni nini? Tuanze na kichacha, hiki ni kiungio kinachofungwa juu ya…

KUPAKAZA MAJI JUU YA SOKSI

Naam, kunajuzu kupakaza maji juu ya soksi pale zitakapokuwa zimekamilisha soksi hizo masharti yote ya upakazaji juu ya khofu, kama yalivyoelezwa katika darasa zilizotangulia. Sheykh Abdurahman Al-Jasiyriy – Allah amrehemu…

YENYE KUBATILISHA UPAKAZAJI WA KHOFU

Wanawazuoni wa fani hii ya fiq-hi (Mafaqihi) wamekongamana na kuwafikiana kwamba kila lenye kutengua na kubatilisha udhu pia hubatilisha upakazaji juu ya khofu. Kwa nini? Hii ni kwa sababu upakazaji…

SOMO LA SITA-KUPAKAZA MAJI JUU YA KHOFU

(i) KHOFU NI NINI? Khofu ni neno la Kiarabu ambalo hutumika kwa maana ya aina maalumu ya kiatu chenye umbo la soksi. Viatu hivi vinaweza kuwa ni vya ngozi au…

VITENGUZI VYA TAYAMAMU

Tayamamu hutenguka na kubatilika kwa kupatikana mambo yafuatayo: Haya ndiyo mafundisho ya Uislamu kwa mujibu wa hadithi iliyopokelewa na Abu Dharri –Allah amuwiye radhi – kwamba Mtume wa mwenyezi Mungu…

NUKTA ZA KUZINGATIWA KATIKA MAS-ALA YA TAYAMAMU.

Kabla hatujaanza kuzungumzia mambo yanayotengua tayamamu ni vema tukaziangalia kwanza nukta kadhaa muhimu katika suala zima la kutayamamu. Nukta zenyewe ni hizi zifuatazo: 1. KUTAYAMMAMU BAADA YA KUINGIA WAKATI WA…

SUNNAH ZA KUTAYAMMAMU

Faida Kumesuniwa katika utekelezaji wa tendo la kutayamamu mambo kadhaa, miongoni mwa mambo hayo ni haya yafuatayo :- Kunasuniwa katika tayamamu yale yote ambayo ni suna katika udhu. Kuanzia na:…

NGUZO ZA TAYAMAMU

Nguzo za tayamamu, haya ni mambo ya msingi kabisa mabayo kuwepo/kupatikana kwa tayamumu kunayategemea, na haya ni mambo yanayofanyika ndani ya tayamamu yenyewe. Mambo yenyewe ni kama yafuatavyo: 1. Nia:…

SABABU ZA KUTAYAMMAMU

Muislamu hatayamamu kwa sababu tu amejisikia kufanya hivyo, akaacha kutawadha. Bali uislamu umeweka hali na mazingira maalumu, ambamo humo ndimo mtu anaruhusiwa kuitumia na kuitekeleza sheria hii ya tayamamu. Hali…