FIDIA YA ABUL-AASWI

Miongoni mwa mateka alikuwemo Abul-Aaaswi Ibn Rabee, huyu alikuwa ni mkwewe Mtume kwa bintie Zaynabu. Ibn Is-haaq-Allah amrehemu–anasema: “Abul-Aaswi alikuwa ni miongoni mwa watu wa Makah walio wachache wa mali,…