“KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Sifa zote njema zimuendee Mola Mlezi wetu kwa Hidaya zake za wazi na zilizo fichikana azitoazo wakati wote. Na…
Category: FAMILIA
SOMO LA PILI-04 , Malengo/Makusudio ya ndoa.Inaendelea
“KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Sifa njema zote ni haki yake Allah; Mola wa viumbe vyote. Yeye pekee ndiye wa kuabudiwa na kuombwa. Rehema…
SOMO LA PILI SEHEMU YA TATU – Malengo/Makusudio ya ndoa
“KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Shukrani zote ni stahiki na milki yake Allah Mtukufu, aliye uumba ulimwengu kwa utashi, uwezo, malengo, mpangilio na makadirio…
SOMO LA PILI – NDOA inaendelea…
“KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Sifa njema zote ni haki yake Allah; Muumba wa viumbe vyote na Mpangaji wa mambo na taratibu zote, asemaye…
SEHEMU YA PILI – NDOA (inaendelea)
“KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Sifa njema zote ni haki yake Allah; Muumba wa viumbe vyote na Mpangaji wa mambo na taratibu zote, asemaye…
SOMO LA PILI (Iinaendelea) – NDOA
NDOA “KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Sifa njema zote ni haki yake Allah; Mola wa viumbe vyote. Yeye pekee ndiye wa kuabudiwa na kuombwa.…
SOMO LA PILI NDOA
“KUTENGENEA KWA FAMILIA YAKO, NDIO KUTENGENEA KWA JAMII NA TAIFA LAKO” Shukrani zote ni stahiki na milki yake Allah Mtukufu, aliye uumba ulimwengu kwa utashi, uwezo, malengo, mpangilio na makadirio…
SOMO LA KWANZA
Tumuhimidi na tumtakase Allah Mola Muumba wa mbingu saba na ardhi saba na vyote vilivyomo humo. Tunamshukuru kwa kuturuzuku bure uhai na uzima hata tukaweza kukutana leo katika ukumbi wetu…
MAKALA ZA FAMILIA YA KIISLAMU – UTANGULIZI
Utangulizi: Jina la Makala: Mpendwa msomaji na mwenza wetu katika jukwaa hili-Allah akurehemu na akudaimishe katika kheri na wema. Si kwa nguvu, ujanja, akili wala uwezo wetu, bali ni kwa…
01 FAMILIA YA KIISLAMU – UTANGULIZI
Utangulizi: Neno la Awali Sifa na Shukurani zote njema ni zake Mola Muumba wetu ambaye ametuambia katika Kitabu chake Kitukufu: “Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke.…