MINBARI YA RAMADHANI-III

Lengo na madhumuni ya nasaha hizi ni kujaribu kukumbusha utukufu, ubora na fadhila za mwezi huu mtukufu ambao ni msimu wa kheri nyingi. Ni kutokana tu na kuujua mwezi wa…