FAIDA SEHEMU YA NNE

MILANGO MITANO YA FAHAMU. Milango mitano ya fahamu uliyonayo hukuwezesha kumjua Allah Mola Muumba wako. Ni milango hii pia ambayo huithibitisha imani yako iliyomo moyoni, nayo milango hii ndio chimbuko…