FALSAFA (HEKIMA) YA FUNGA (SWAUMU)

ATHARI ZA SWAUMU: KINAFSI, KIROHO, KIAFYA NA KIJAMII. Mwenyezi Mungu Mtukufu amewafaradhishia  waislamu kufunga (swaumu) katika mwezi wa Ramadhani. Mwezi ambao imeshuka ndani yake Qur-ani Tukufu. Ameifaradhisha swaumu ili iwe…