SWALI LA WIKI

SWALI: Msikitini kwetu tunaswalishwa na Imamu ambaye kwa kweli mimi binafsi siridhiki nae; sina imani nae. Je, nini hukumu ya swala yangu nyuma ya Imamu huyu, swala yangu ni sahihi?JIBU:…