BWANA MTUME AUFUATA MSAFARA WA MAKURAISHI

Msafara alioutokea Bwana Mtume-Rehema na Amani zimshukie-katika shambulio (Ghaz-wah) la Ushayrah, ulikuwa ndio msafara mkubwa na wenye mali nyingi sana kuliko misafara yote iliyotangulia. Khabari zikamfikia Bwana Mtume kwamba tayari…