BWANA MTUME ATOKA NA WAPIGANAJI ALFU MOJA

Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-akafunga bendera tatu. Akaitoa bendera ya Ausi akampa Usaid Ibn Hudhwayri aibebe na kuipeperusha yeye.  Bendera ya khazraj akampa Al-Hubaab Ibn Al-Mundhir na ile ya…