BWANA MTUME AAMURU KUUAWA KWA MATEKA WAWILI

Bwana Mtume-Rehema na Amani zimshukie akaondoka pale Rauhaa alipolakiwa na maswahaba wake kuendelea na safari yake ya Madinah. Alipofika mahala panapoitwa “Al–Uthayl” akawakagua mateka na akaamuru kuuliwa wawili miongoni mwao…