BINADAMU NA KAZI

Kazi ni sehemu isiyotengeka ya maisha ya mwanadamu. Allah Mtukufu ameifanya kazi kuwa ndio wasila wa mwanadamu katika kupata maisha (riziki) yake ulimwenguni hapa. Tusome huku tukitafakari. “YEYE NDIYE ALIYEFANYA…