AINISHO / MAANA YA SWALA

Kabla hatujaingia moja kwa moja kuilezea swala na uchambuzi, ni vema kwanza tukajiuliza swala ni nini, ili tutakapokuwa tunalitaja neno swala, tujue na kuelewa tunazungumzia kitu/jambo gani. Haya sasa, kwa…