ADHANA ISIYO YA SWALA

Kumesuniwa kutolewa adhana pindi kutakapotokea katika jamii ya waislamu mambo kadhaa mbali ya swala. Mambo hayo yaliyosuniwa adhana ni pamoja na:- Kumuadhinia mtoto katika sikio lake la kulia mara tu…