Muislamu maisha yake yote ni ya unyenyekevu, na yenye kufuata mfumo wa Uislamu. Mfumo ambao unazigusa nyanja zake zote za maisha yake ya kila siku. Katika mfumo huu kamili wa…