ADABU / TARATIBU ZINAZOFUNGAMANA NA KUELEKEA WAKATI WA KUKIDHI HAJA

Ni haramu kwa mwenye kukidhi haja kuelekea Qiblah au kukipa mgongo. Uharamu huu ni iwapo anakidhi haja mwandani, wala hapana chenye kumsitiri wakati wa kukidhi haja yake. Na imeshurutizwa sitara…