ABU SUFYAAN AHIMIZA MAKURAISHI KUENDA KUIHAMI MALI YAO

Khabari za Mtume kuuvizia msafara wa Makurayshi utokao Shamu kurejea Makkah kupitia Madinah zilivuja na kumfikia Abuu Sufyaan; kiongozi wa msafara ule. Bila kuchelewa Abuu Sufyaan akamtuma mjumbe kwenda mjini…