ISHI NA MUONGOZO NA MAELEKEZO YA QUR-ANI, UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA.
Unasubiri nini kuingia kwenye kundi la Waumini, wahi ufaidike kabla hujachelewa: “Enyi mlio amini! Rukuuni na msujudu, na muabuduni Mola wenu Mlezi, na tendeni mema, ili mfanikiwe”. Al-Hajji [22]:77