Ishi na muongozo na maelekezo ya Qur-ani, ufanikiwe duniani na akhera.
Unasubiri nini kuingia kwenye kundi la Waumini, wahi ufaidike kabla hujachelewa: “Hakika Allah huwakinga walio amini. Hakika Allah hampendi kila khaini mwingi wa kukanya mema”. Al-Hajji [22]:38